Nilivyowafumania mdogo wangu na mke wangu

Jina langu naitwa Mama Halima kutoka Lushoto, Tanga, nipo katika ndoa kwa miaka zaidi ya 17 sasa na ninaishi vizuri tu na mume ingawa zipo changamoto ambazo ziliwahi kukaribia kuivunja ndoa yangu.

Moja ya changamoto hizo, ni mume wangu kutembea na mdogo wangu ambaye alikuja nyumbani kwangu kunisaidia kipindi cha uzazi wa mtoto wangu wa mwisho ambaye ni wanne katika ndoa yangu.

Binafsi sikuwahi kufikiria kuwa kuna siku mume wangu au mdogo wangu ataweza kufanya kitu kama hicho ila ndio hivyo binadamu ni kiumbe dhaifu na muda wowote kinabadilila kutokana na mazingira.

Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya mimi kwenda kujifungua, nilimuomba mdogo wangu aje kunisaidia kazi za hapa nyumbani na kwel alikuja kisha mimi nikaelekea hospitali.

Niliwaacha watoto nyumbani pamoja na mdogo wangu, mimi na mume tukaelekea hospitali, baada ya kujifungua nilikaa huko kwa siku kadhaa na kuruhusiwa kurudi nyumbani.

Lakini baada ya kurudi nilikuta hali isiyo ya kawaida pale nyumbani, mume wangu na mdogo wangu walikuwa wamezoeana sana kiasi kwamba nilianza kuhisi kuna kitu kati yao lakini sikuwa na wasiwasi kabisa.

Sikuwa na wasiwasi maana mume wangu nilikuwa nimeshamfunga au kumkinga dhidi ya kutoka nje ya ndoa yetu na dawa kutoka kwa Kiwanga Doctors, hivyo nikawa nasubibiria kuona ni kitu gani ambacho kinatokea.

Baada ya kama wiki moja, nikiwa chumbani kwangu namnyonyesha mtoto nilisikia kelele kutoka nje nyuma ya nyumba yetu, niliamua kutoka nje na nilipofika nilimkuta mume wangu na mdogo katika hali ya kutatanisha sana.

Walikuwa wamenasiana wakati wakifanya usaliti wao dhidi yangu bila kuwa na aibu yoyote, sikuamini na sikua najua nini cha kufanya kwa muda ule maana tayari majirani walianza kumiminika katika nyumba yangu.

Nilichukua simu na kuongea na Kiwanga Doctors na kumueleza jambo na yeye alitoa maelezo ya kitu gani cha kufanyika. Tangu siku hiyo mume wangu amekuwa na heshima kwangu na mdogo wangu ananiogopa kupita maelezo ingawa nimeshamsamehe.

Kama unahitaji kumkinga mume wako au mke wako, basi wasiliana mara na Kiwanga Doctors kwa namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com au tuma email kiwangadoctors@gmail.com.