Jina la Aisha kutokea Pangani, miaka miwili nyuma nilikuwa na mahusiano na huyo kijana, ni family friend so tulizoeana tangu utotoni tukasoma shule moja tukaja kupoteana 2015, tulikuja kuwasiliana tena…
Shinda vita vya mapenzi na ajira ya uhakika
Naitwa Mwanahidi kutokea Zanzibar, mimi ni binti mwenye miaka 24 kuna huyo kaka nilianziasha mahusiano naye tangu 2021, mwanzo mahusiano yalikua vizuri mno alikua ananijali sana japokua kipind hicho wote…
Baada ya mume kupata kazi kanitelekeza kisa mchepuko!
Naitwa Mamy, nina mwanaume nimeishi naye miaka 5, tuna mtoto mmoja mwanzo tumeteseka sana kimaisha ila sasa hivi mume wangu kajipata na kabla ya kujipata ilikuwa tunashirikiana kwa kila jambo,…
Kwa hakika Single Mothers tunapitia mengi katika mahusiano!
Jina langu ni Janeti kutoka Kigoma, nilikuwa na mchumba wangu, yeye ana miaka 45 mimi 35, nina watoto wa 3 na nilimwambia akakubali, yeye alisema alikuwa na mwanamke na walikuwa…
Alitaka kuondoa bahati yangu ya kuolewa na mwanajeshi
Jina langu Eliza kutokea Morogoro, mtaani kwetu kuna wakaka watano ni marafiki sana wote ni wanajeshi. Basi nikaanza kuzoeana nao. Sasa huyo mmoja nikatokea kumpenda sijui na yeye alinipenda ila…
Huyu kijana alitaka kunichanganya kimapenzi ila…..!
Mimi ni mama wa watoto wawili nimeolewa yapata miaka 12 mpaka sasa nina umri wa miaka 34, kwenye maisha yangu ya ndoa nimekutana na matukio mengi mpaka ikafikia hatua nikaamua…
Mume wangu ni mwanajeshi ila tunaishi maisha magumu sana!
Mume wangu ni mwanajeshi na kwao ni familia ya watoto sita, yeye ndio wa kwanza, ana mdogo wake anayemfuatia ana biashara mwingine mishe zake hazieleweki yupo tu wa tatu kamfungulia…
Kumbe alinitumia kupona maumivu ya kufiwa na mkewe!
Jina langu ni Beatrace, katika maisha yangu hapo awali sikuwahi kuolewa. Nilizaa watoto wawili na maisha yakaendelea, hivyo sikubahatika kupata mume wa kunioa rasmi aniweke ndani kama mke wake. Sasa…
Baada ya kusumbuka sana, nimepata kazi ya Sh4.6 milioni
Mimi na huyu Kaka tumekua kwenye mahusiano tangu tuko chuo, tunapendana na kila kitu tunafanya pamoja. Baada ya kumaliza chuo tulianza kuishi pamoja, wote hatukua na kazi, tulihangaika mtaani kama…
Dawa ya mwanaume asiyetaka mlee mtoto pamoja
Naitwa Jesca, mimi ni binti wa miaka 20, nina mtoto wa miezi 9, baba yake ana miaka 29, nilikutan naye toka mwaka 2020, mwaka 2021 tukaanza kuishi sokea tukae tukaenda…